Friday, January 10, 2014

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM,SADIK MEK  SADICK akishangaa namna moto ulivyokuwa unasambaa kwenye jengo la RK BARABARA YA NYERERE AMBALO PIA INASEMEKANA KUWA KULIKUWA NA MITUNGI YA GES PAMOJA NA STORE YA DAWA ZA BINADAMU, MAKAMPUNI KADHAA  YALIYOFIKA KUZIMA MOTO HUO  WALISHINDWA KABISA HADI GARI YA UWANJA WA NDEGE JK NYERERE ILIPOKUJA KUOKOA JAHAZI.

Labels:






 Picha mbalimbali mbali zikionyesha matukio yaliyojili wakati w a kuzima moto huo ambao umeteketeza ofisi na kiwanda cha misumari ambacho kipo barabara ya Nyerere Dar es  Salaam.Picha na Mobini Sarya.

Labels:

BREAKING NEWS';Sheli ya mafuta yanusurika kutekekea Jet Dar es Salaam

JENGO la ofisi mbalimbali yakiwemo magodawn na kiwanda cha misumari Jet, barabara ya Nyerere Dar es salaam ,zikiwaka moto baada ya kampuni  za kuzima moto kushindwa.Picha na Tanpress