wakinamama wakipanda kwenye boti katika kisiwa cha Nyamango kwa ajili ya kuanza safari ya kusaka huduma ya kiliniki eneo la Kanyara wilayani sengerema visiwani,maeneo hayo hayajawahi kupatiwa huduma yoyote
Usafiri kama huu unapatikana visiwani vya sengerema katika ziwa victoria sio rafiki wa walemavu na akinamama wajawazito,hii Boti ilikuwa inapakiaa mizigo kisiwa cha Nyamango.Picha na Tanpress
Meya Jery Silaa akizungumza na wafanyakazi wa Green West Pro Ltd, baada ya kuhitimisha zoezi lausafi kata ya Kisutu Manispaa ya Ilala.Picha Na Tanpress
Meya Jery Silaa akizungumza na Kijana anayeuza kahawa katika makutano ya Kisutu na Zanaki akimtaka azingatie zoezi la usafi kata ya Kisutu Manispaa ya Ilala.Picha Na Tanpress
CHOMBO HIKI KINAUZWA MILIONI 400, LIPO MOJA TU TANZANIA NZIMA
DEVO likifanaya kazi yake ya kusafisha barabara mitaa ya zanaki na MALI jijini Dares salaam,hata hivyo baadhi ya barabara linashindwa kufanya kutokana na ubovu wake.picha na Tanpress