Friday, December 14, 2012

Haya baba nipe taa hiyo

kijana wa Nyumbani Emmanuel Mobini "Mapambano"akiwa na solata tayuari kukabiliana na giza la kijijini Mara nyakati hizi za masika .

mchungaji wa kondoo, akipotea mmoja atawaacha hao akamtafute

wanyama hao wanapatikana katika kisiwa cha nyamango, wilayani sengerema

Mkunga anayeokoa masha ya akinamama na watoto

Bi Twaha Asnat mkunga anayestahili pongezi wa kazi ngumu anayoifanya visiwani akizalisha akina mama usiku na mchana baada ya kukosekana zahanati

Meli ikishusha na kupakia mizigo bandari ya Nyamango

Mkunga anayezalisha akinamama kwenye visiwa hivyo,Mama Twaha Asnati (55)
aambaye sasa ni tegemeo kwa visiwa zaidi ya saba wilayani sengerema ambavyo havina zahanati licha ya kuwa na wakazi zaidi ya 25000

baadhi ya watoto waliozaliwa Kisiwa cha Nyamango bila Daktari

baadhi ya watoto waliozaliwa kisiwa cha Nyamango wilayani Sengerema,licha ya kwamba kuna makazi ya watu lakini hakuna huduma mhimu za kijamii kama zahanati ya kujifungulia wala kliniki kwa akinamama na watoto, hali inayochangia vifo vya wajawazito na watoto
.

Mwandishi alipotinga nyumbani kwa Sangoma

mkurugenzi wa Tanpress,Sir Mobini Sarya akiingia kwenye wodi ya kuzalishia akinamama iliyojengwa na mkunga wa Jadi bi,Twaha Asnat mkazi wa kisiwa cha Nyamango wilayazi Sengerema katika ziwa viktoria Mkunga huyo ndio tegemeo pekee katika visiwa saba vyenye wakazi 25000.Picha na Tanpress