Ukikutwa unafundisha 'vicoba' bila leseni faini Mil.1
Ukikutwa unafundisha 'vicoba' bila leseni faini Mil.1
Na Mobini Sarya,Chalinze
Kwa mjibu wa Sheria ya huduma ndogo za kifedha wale
wanaojiita walimu wa vikundi zamani Vicoba wanapaswa kusajiliwa halamashauri na
kupewa leseni kama mapromota.Waziri wa Fedha Mwingulu Nchemba
Kwa mjibu wa sheria hiyo ya Mwaka 2019/20 endapo mwalimu atakutwa akifanya hivyo bila kibali atapigwa faini ya shilingi milioni 1 au kwenda jela fasta.
Afisa Maendeleo Wilaya ya Chalinze,Ramadhani Mumba, tayari wamesajili mapromota watano ambao wameitikia sheria hiyo ambapo gharama ya leseni ni shil.50,000 wengine zaidi ya 20 wanasubiri kupatiwa leseni.

0 Comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA NDUGU
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home