MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM,SADIK MEK SADICK akishangaa namna moto ulivyokuwa unasambaa kwenye jengo la RK BARABARA YA NYERERE AMBALO PIA INASEMEKANA KUWA KULIKUWA NA MITUNGI YA GES PAMOJA NA STORE YA DAWA ZA BINADAMU, MAKAMPUNI KADHAA YALIYOFIKA KUZIMA MOTO HUO WALISHINDWA KABISA HADI GARI YA UWANJA WA NDEGE JK NYERERE ILIPOKUJA KUOKOA JAHAZI.
Labels: HABARI

0 Comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA NDUGU
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home