HAFUNGUI NJIA MTU HAPA WEKA MATUTA VIGWAZA
Hakuna gari iliyoruhusiwa kutoka au kuingia jijini Dar es Salaam tangu saa saba mchana alipogongwa Mnyebusi Papaa (12) wamanafunzi aliyekuwa anasoma shule ya msingi MBALA KIJIJI CHA CHAMAKWEZA JIRANI NA VIGWAZA.
WANAKIJIJI WALIOJITOKEZA WAKAPANGA MAGOGO BARABARANI NA KUSABABISHA MSURURU WA MAGARI MENGI VIONGOZI KADHAA AKIWEMO OCS WA CHALINZE WALIWASIHI WAFUNGE BARABARA MATUTA YATAWEKWA WAKAKATAA .
'TUNATAKA MATUTA KILA MWAKA WATOTO WANAGONGWA TUNAWAMBIA WEKA MATUTA HAMTAKI LEO LAZIMA AJE DC HAPA' NDIPO WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS UTAWALA BORA ALIWAPOTOKA DAR NAKWENDA KWUASIHI WAKAFUNGUA NJIA HIYO

1 Comments:
woori casino | New Zealand Online Casino
Play woori casino and play online slots choegocasino.com사이트 online. The exciting game 클레오카지노 of online bingo febcasino has been around https://octcasino.com/ for https://febcasino.com/review/merit-casino/ over 500 years and features more than 100 casino games
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA NDUGU
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home