WAISLAM WAZIDI POLIS UJANJA
Jamaa mmoja wa kiislam, akiwapita askari polisi eneo la Jangwani Dsm KUELEKEA kwenye maandamano katikati ya jiji bila askari hao kumshtukia hatimaye muumini huyo aliyekuwa anatokea mgomeni alifanikiwa kuungana na wenzake wa msikiti wa kichangani Karikaooo, wengi wao walitumia mbinu ya kutembea wawili au watatu ili wasijulikane

0 Comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA NDUGU
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home