उतुम्वा वा किअकिली unatuumiza


HIZI NI PICHA KUTOKA MBUGA YA SERENGETI AMBAYO NDANI IMEUZWA KWA MWEKEZAJI ILI JENGE HOTELI NA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WATAALAM WA WANYAMAPORI WAMEONYA KUWA IKIWA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA UTAJENGWA mbugani UTASABABISHA WANYAMA WENGI KUHAMA WAKIKIMBIA KELELE ZA NDEGE.
JAMII ya mtanzania wa leo inapaswa kuungana na kupinga uwenda wazimu huu wa viongozi wetu kujali posha za wazungu na kuu za nchi.
unadaiwa kuwa ndani ya hifadhi hiyo pamekuwapo na tabia ya kutorosha wanyama wadogo kwenda nje kupitia viwanja vidogo vilivyojengwa humo na vinadhibitiwa na haohao wageni?!!!!!!!!!!!!!!!
Labels: उतुम्वा वाकिआकिली inatuumiza
