Mkuu wa wilaya ya Ilala katika kutoka kushoto,RayMond Mushi akizungumza na
wakazi wa kata ya Kivukoni waliojitokeza katika fukwe ya bahari ya Hindi
kufanya usafi ,baada ya mkandarasi wa kuzoa taka Green West Pro kufanya
uzinduzi huo,kulia ni Meya wa Manspaa ya Ilala Jery Silaa naye alishiriki kuzoa
taka picha na Tanpress

0 Comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA NDUGU
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home