Saturday, January 19, 2013

Usafi katikati ya jiji, wakazikivukoni wajitokeza



Wakazi wa Kata ya Kivukoni Jijini Dar es Salaam, wakiwa wamejitokeza kwenye zoezi la kusafisha Manispaa ya Ilala liloendeshwa na kampuni ya kuzoa taka Green West Pro katika kata tatu za Kivukoni ,mchafukoge na Kisutu ,Picha na TanPress

0 Comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA NDUGU

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home