ZAHANATI YA KARNE IPO SAMUNGE
KAMA BABU WA LOLIONDO ASINGEKUWEPO WATOTO HAO NANI ANGEWAPA HATA DAWA YA MINYOO?

MIAKA 50 YA UHURU WA TANGANYIKA: Baadhi ya wazazi wakiwa na watoto katika Kijiji cha Oloipil, Loliondo wilayani Ngorongoro, Arusha, wakisubiri madaktari kutoka Hospitali ya Wasso. Jengo linaloonekana nyuma ndiyo zahanati na kliniki ya kijiji hicho. Picha hii ilipigwa na Manyerere Jackton mwanzoni mwa mwezi huu

0 Comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA NDUGU
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home