busara ya leo
BUSARA YA LEO
AIBU YA MTU MZIMA NI SAWA NA KIBOKO CHA MTOTO
kwa sasa ni nipo bondeni kwa Mzee Thabo Mbeki .katika semina ya uandishi wa Habari za uchunguzi iliyoanza Tarehe 3 hadi 5 Septemba Mwaka huu Nimechaguliwa kupitia tuzo ya John Manyarara Investigative Journalism -IJW Johannesburg Afrika ya kusini, Nimeondoka mjini Dar es Salaam Jumapili ya Septemba 2 na Ndege ya Sauth Afrika AirLine, na kwasasa nimepanga katika Hotel ya Orion Devonshire

0 Comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA NDUGU
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home