CHAWA WA MAMA DAR, WAMFARIJI JAMES FOUNDATION
Na Tanpresstz
Mmiliki wa kituo hicho Bw.James ni Naibu katibu wa Chawa wa Mama ,wakati, Katibu Mkoa ni Lucy Michael, akiongozana na Mwenyekiti wa Hamasa Mkoa, Joseph J Tilusekwa, na Msemaji Mkoa Hussein A Kissensi.
![]() |
| Viongozi wa Taasisi ya Chawa wa Mama mkoa wa Dar es Salaam 'katikati' wakiwa na mkurugenzi wa James Foundation watatu kutoka kulia baada ya kwenda kumfariji na kumpatia michango ya rambirambi. |
"Chawa wa Mama Mkoa wa Dar-es Tunatoa Mkono wa Pole Kwa Kituo cha James Foundation, Pia, Tumehudhulia Kwenye Msiba ili kumtia Moyo ndugu yetu pamoja na Watoto Wetu wa James Foundation" mwenyekiti amenukuliwa na Tan press
Aidha katika taarifa hiyo iliyotumwa kwenye shirika la habari Tanpress, imenukuliwa ikisema 'James alifarijika kwa Kutuona na kumpa Faraja'
"Kwa Heshima Kubwa Ya Mwenyekiti wa Chawa Wa Mama ndg. Abiud, Tunasema Tupo pamoja na Masuala Yote ya Kijamii kwa Ukuu wa Mama Yetu Kipenzi Mheshimiwa, Dkt Samia Suluhu Hassan, Sisi ni Wawakilishi Wa Mama Samia kwani Yeye ni Sisi na Sisi Niyeye. Tulipo yupo na Alipo Mama Sisi Tupo.
Chawa wa Mama Tuna Mshukuru Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Maendeleo ambayo ametuletea Watanzania, Mama ni Mwana Jamii na Sisi ni Jamii yake.
"Twende pamoja na Mama Samia 2025
Labels: HABARI




0 Comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA NDUGU
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home