ufisadi waibukia Kilimo kwanza
AMA kweli ufisadi umetanda kila kona yaani mafisadi sasa wapo katika kilipo kwanza hebu soma hapa ............
http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=11249
utashangaa mwenyewe kifupi ni kwamba--
MKAKATI wa serikali unaolenga kuboresha Kilimo Kwanza umeanza kupata pigo baada ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji kutumia sh milioni 100 kununua mashine ambazo zimeshindwa kusukuma maji katika mradi wa umwagiliaji uliopo kata ya Nyatwali, wilaya ya Bunda, mkoani Mara.

Labels: http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=11249

0 Comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA NDUGU
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home