PONGEZI na SHUKRANI
LEO AMEZALIWA MTOTO , April 5.2009
Familya ya Sir Mobini Sarya inayofuraha kubwa kumpongeza first Born wao, anayetimiza Mwaka mmoja April 5 Mwaka huu siku ya Jumapili.
Sherehe za kuwasha mishumaa yakumpongeza mtoto wao Sarya Emanuel Bin Mobini (Mapambano)
…………………
zitafanyika katika Mtaa wa Posta, Mkwepu ndani ya NewsRoom ya Tanzania Daima.
Hafla hiyo fupi itafanyika muda wa saa tano asubuhi, wote wanaopenda kujumuika kumpongeza mtoto huyo Ahsanteni

<< Home