Wednesday, April 1, 2009

PONGEZI 29.3.2009

Familya ya Sir Mobini Sarya inayofuraha kubwa kumpongeza first Born wao, atakayetimiza Mwaka mmoja April 5 Mwaka huu siku ya Jumapili.

Sherehe za kuwasha mishumaa zitafanyika katika Mtaa wa Posta, Mkwepu ndani ya NewsRoom ya Tanzania Daima.

Hafla hiyo fupi itafanyika muda wa saa tano asubuhi, wote wanaopenda kujumuika kumpongeza mtoto huyo Sarya Emanuel Bin Mobini (Mapambano) wanakaribishwa.

…………………
Ahsanteni