Monday, February 26, 2007

MWANAFUNZI ALIYEJERUHIWA NA MOTO

Mwanafunzi wa shule Sekondari Machochwe, wilayani Serengeti mkoa wa Mara, aliyekuwa ungua kwa moto alfajili wakati akiongeza Mafuta kwenye taa ili aendelee kusoma akijiandaa na mtihani wa kumaliza kidato cha nne mwaka 2006, picha hii ilipigwa wakati amelazwa katika hospitali Teule ya wilaya Serengeti Nyerere DDH, Hata hivyo Binti huyo alifariki Dunia

0 Comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA NDUGU

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home