Sunday, February 18, 2007

Niwazi kwamba binadamu wengi wapo gizani

Ni dhahiri na kweli kabisa kwamba katika Dunia hii watu haoni hata mchana, ambako kunamwanga mkubwa wa Jua sikia hii nadharia ya mwanafalsafa wa uyunani ya Kale.

Mwanaflsafa huyo alioneka siku moja akitembea mchana sokoni akiwa amewasha tochi ikitoa mwanga, Rafiki yake mmoja akamuuliza "Rafiki hizi ni zama za ukweli na Uwazi kulikoni unatembea na tochi mchana? yule mwanafalsafa akamjibu kwa upole kwamba bwana katika hii dunia kuna watu hata mchana hawaoni wanahitaji msaada wa Mwanga !!!!

Wakati mwanafalsafa huyo akitoa maneno hayo miaka hiyo alionekana kama anatania au ni fumbo kubwa lakini siku hizi hilo sio fumbo tena jinsi binadamu tulivyo kwasasa hasa hizi zama tunazojidanganya kuwa dunia imepiga hatua ya maendeleo ya Sayansi na Teknology kumbe tunakimbilia gizani, tunahitaji mwanga ili tuweze kuona,nitafafanua zaidi maana ya nadharia hii kadri nitakavyopata nafasi. Tuombe Mola anijailie anipe UZIMA.

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA NDUGU

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home