usikose kusoma matukio ya ulimwengu katika kona sehemu hii
Ni hatua moja kubwa nimepiga mara baada ya kumaliza kuvumbua hii web.site leo tarehe 18 februarya Mwaka 2007 saa kumi 12 kamili jioni.
wakati huo nilikuwa nawazo baya kichwani mwangu la kujiuliza sababu ya maasikofu wakuu Kanisa la Angalikan Ulimwenguni kufanyia mkutano wao hapa Tanzania huku wakiandamwa na Mashoga wanaowashinikiza wawakubalie na kutambua haki zao ili nao waruhusiwe kusali.
katika kanisa hilo ambalo chimbuko lake lilitokana na utata baada ya muasisi wake Mfalme Charles III wa Uingereza kuwa mke wa pili na kuacha na mke wa kwanza kitendo ambacho hakikuwafurahisha wakuu wa kanisa la Romani Katoliki miaka 500 iliyopita.

Labels: Nawapenda wote mnaosoma hapa

0 Comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA NDUGU
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home