MNOMBEA GARI BAADA YA WAGOMNJWA
MNAACHA KWENDA KUWAOMBEA WAGONJWA MNAOMBEA GARI 'WAUMINI WA KANISA KILUTHERI USHIRIKA WA NAMEROK ,MATUI KITETO WAKIOMBEA GARI AINA YA X-NISSAN ALIYOSHINDA MUUMINI MWEZAO

OKT 4/07
MAJABU' WAUMINI WA KANISA KILUTHER TANZANIA JIMBO MASAI KUSINI WAKIOMBEA GARI LA MUUMINI MMWENZAO, JOSEPH SAKAYA ALIOSHINDA KATIKA PROMOSHENI YA CELTEL SHINDA NDOTO YAKO, HAPO NI KITETO MANYARA.
ASKOFU KLAINI MEREJEA TOKA INDIA
Na mwandishi wetu
ASKOFU Msaidizi wa Jimbo hilo, Muhashamu Methodius Kilaini, amerejea nchini kutoka India alikokuwa kwa ajili ya matibabu na kusema anaendelea vizuri.
Akizungumza juzi usiku katika kipindi cha Chimbachimba Historia ya Kanisa kinachorushwa hewani na Redio Tumaini Askofu Kilaini aliwashukuru watu wote waliomuombea.
Askofu huyo ambaye hakuingia kwa undani kuhusiana na kuugua kwake hakueleza alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani wala nchi aliyokwenda.
“Mimerudi na sasa naweza kuendelea na kazi, ukitoka kuugua hali inarudi polepole, jumapili nilitoa kipaimara katika kanisa la Yombo, nawashukuru wote walioniombea,”. Alisema Askofu Kilaini.
Awali kabla kipindi hicho hakijaanza mtangazaji wa redio hiyo Rose Mdami, ambaye alikuwa mwongoza kipindi hicho alisikika akimtaka msikilizaji kusikiliza mawili matatu ya Askofu huyo kutokana na hivi karibuni kutokuwepo nchini kutokana na kuugua.
Baada ya mtangazaji huyo kutangaza hivyo Askofu Kilaini alisikika kwa sekunde chache akizungumzia kwa uchache kuhusiana na hali yake.
Kuugua kwa Askofu huyo na kusababisha aende India kwa matibabu bila Kanisa Katoliki kutoa taarifa kwa umma kulizua maswali mengi miongoni mwa wana jamii yakiwemo ya watu kuhoji sababu ya suala la kingozi huyo wa kanisa kutotangazwa.
Hata hivyo siku moja baada ya gazeti hili kuripoti kuugua kwa Askofu huyo Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Pengo, alikanusha habari hizo baada ya kuhojiwa na gazeti hili na kusema Askofu Kilaini alikwenda India kwa ajili ya uchunguzi wa kawaida wa afya yake.
Siku moja baada ya Askofu Pengo kutoa kauli hiyo siku moja baadaye Askofu Kilaini alisikika akizungumza moja kwa moja kutoka India na Mkurugenzi wa Redio Tumaini Esther Chilambo.
Katika mazungumzo hayo kwa mara nyingine Askofu Kilaini aliwashukuru waumini kwa maombi yao na kuwataka wasiwe na hofu kuhusiana na afya yake na kuwa mambo yakienda vizuri anatarajia kurudi wiki ijayo.
MWISHO..

<< Home