HAPA NIPO KATIKA WATERWITSRAND UNVERSITY
UKITAKA KUFURAHIA DUNIA TEMBELEA MAENEO MBALIMBALI UKUTANE NA WATU MBALI MBALI USAHAU SHIDA ZA KWENU , KWA MFANO UTAFIKIRI HUYU BWANA NI MWANAFUNZI WA HIKI CHUO KINACHOONEKANA NYUMA YAKE , AMBACHO MAKITABA YAKE ILIJENGWA MWAKA 1934 JOHNNESBURG KUMBE NI MWANDI WA HABARI TU ALIYETMBELEA HAPO KWA MAFUNZO YA HABARI ZA UCHUNGUZI SEPT 2- 6 ALIPANGA KATIKA HOTELI YA DEVONSHIRE HOTEL KWA WANAOIFAHAMU.

0 Comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA NDUGU
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home