Huu ni utapeli wa mitandaoni, wanasema nimesahinda bila kucheza!
wapenzi wasomaji na watumiaji wa mitandao jihadarini sana kuna utapeli umeibuka kwenye mitandao watu wanalizwa ovyo ovyo. unafungua email yako unakuta massage kwamba umeshinda shindano fulani ambalo wewe mwenyewe haujawahi kulicheza kisha wanakulaghai uwandalie pesa ili wakuletee zawadi yako huu si utapeli tujiepushe.
Labels: Nawapenda wote mnaosoma hapa

0 Comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA NDUGU
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home